Dar es Salaam : Viwanja vizuri vinapatikana mloganzila dar es salaam (Dar es Salaam) TZS 4,800,000

 

Processing your request, Please wait....
viwanja vipo mloganzila dar es salaam vipo kilomita 10 kutoka barabara iendayo morogoro na ni kilomita tano (5) kutoka hospitali ya mloganzila vimepimwa tayari na ni kwa ajili ya makazi Huduma za maji, barabara, umeme, soko,shule na hospitali ni uhakika vipo zaidi ya viwanja 300 kiwanja kimoja kinaanzia tsh
Price: TZS 4,800,000
Listing ID: N/A

October 5, 2019 3:12 am

Comments